Thursday, November 1, 2012

MKE WA WAZIRI MKUU MH TUNU PINDA AHIMIZA WANAWAKE KUWA WAJASIRIAMALI

Mke wa waziri mkuu mama Tunu pinda atembelea maonyesho ya wajasiriamali wana wake katika viwanja vya mnazi mmoja nakujionea bidha mbali mbali zikiwemo nguo za batiki zinazo tengenezwa na wakina mama  na ametoa wito kwa wakina mama kuwa  wajasiria mali kwani ndio njia pekee itakayo wawezesha kujipatia kipato na kuweza kuendeleza familia zao maonyesho hayo yameandaliwa na shirika la kazi duniani ambapo yameshirikisha nchi jirani ya malawi picha na chris mfinanga.

No comments:

Post a Comment