Friday, November 23, 2012

.
Jarida la Forbes ambalo mara nyingi limekuwa likitoa ripoti za matajiri wa dunia na utajiri wao limesema tajiri wa Tanzania Said salim Bakhresa ambaye ameshika namba 30 kati ya matajiri 40 wa Afrika aliacha shule akiwa na umri wa miaka 14 na kuanza kuuza potato mix baada ya hapo akafungua restaurant ndogo lakini leo ameajiri zaidi ya watu elfu mbili kwenye kampuni yake.
Kampuni hii ndiyo kampuni inayoongoza kwa kutengeneza unga wa ngano Afrika Mashariki na kati ambapo kwa siku inatoa tani 3,200.

No comments:

Post a Comment