Monday, November 5, 2012

BENDI YA MSONDO NGOMA ILIVYOPAGAWISHA ILALA

Waimbaji wa Bendi ya Msondo Ngoma wakitoa burudani Katika Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Eddo Sanga, Shaban Dede na Juma Katundu, bendi hiyo kila mwisho wa wiki hutumbuiza katika ukumbi huo kwa ajili ya kutoa burudani.

Mpiga gila wa msondo ngoma, Zahoro Bangwe, akizikung'uta nyuzi wakati wa onesho la bendi hiyo lililofanyika jumapili katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni. 
Wanamuziki wa bendi ya Msondo Ngoma, wakishambulia jukwaa wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande wakipuliza ala za muziki.

No comments:

Post a Comment