Ratiba kamili ya Uchaguzi na Operesheni M4C ndani ya CHADEMA
Uchaguzi ndani ya Chama na Operesheni Sangara
Ratiba mpya ya operesheni Sangara baada ya maagizo ya Kamati Kuu iliyokaa tarehe 9 July 2012 ya kusimamisha uchaguzi ndani ya Chama. Kamati Kuu iliamua uchaguzi uwe ukifanyika katika Operesheni Sangara.
Ratiba mpya ya operesheni Sangara baada ya maagizo ya Kamati Kuu iliyokaa tarehe 9 July 2012 ya kusimamisha uchaguzi ndani ya Chama. Kamati Kuu iliamua uchaguzi uwe ukifanyika katika Operesheni Sangara.
DATE | ENEO HUSIKA | SHUGHULI | ||||||||
1 | 04/08 2012 | Kanda ya kati | Uzinduzi wa operesheni | |||||||
2 | 05/8-19/08/ 2012 | Dodoma,singida,iringa manyara na morogoro | Operesherni uchaguzi ngazi ya kata. | |||||||
3 | 19/09-30/09/2012 | Makao makuu | Maandalizi Tathimini ya operesheni | |||||||
4 | 01/10-20/2012 | Baadhi ya maeneo ya Lindi, Dsm,Pwani, Bagamoyo na Tanga | OPERESHENI Uchaguzi ngazi ya matawi na kata | |||||||
5 | 21/10/30/10/2012 | Makao makuu | Tathimini Maandalizi | |||||||
6 | 01/11-20/11/2012 | Kilimanjaro na Arusha | Operesheni Uchaguzi ngazi ya matawi | |||||||
7 | 21/11-30/11/2012 | Makao makuu | Tathimini maandalizi | |||||||
8 | 01/12-20/12/2012 | Shinyanga,Tabora na Simiyu | Operesheni na uchaguzi ngazi ya matawi na kata | |||||||
9 | 01/01-25/01/2013 | Mwanza,Geita, Mara na kagera | ||||||||
10 | 26/01-30/2013 | Makao makuu | Tathimini | |||||||
11 | 01/02-20/02.2013 | Kigoma, katavi Rukwa | Operesheni na uchaguzi ndani ya chama | |||||||
12 | 21/02-30/02/2013 | Makao makuu | Tathimini ya operesheni | |||||||
13 | 01/03-25/03/2013 | Mbeya, njombe na Ruvuma | Operesheni uchaguzi | |||||||
14 | 26/03-30/03/2013 | Makao makuu | tathimini | |||||||
15 | 01/04-25/04/2013 | Zanzibar | Operesheni na uchaguzi | |||||||
16 | 26/04-30
|
No comments:
Post a Comment