Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na mjukuu
wao Aziza Ridhiwani (3) katika ghala ya mahindi yaliyovunwa kwenye shamba
lao kijijini Msoga, nje kidogo ya mji mdogo wa Chalinze, Mkoa wa Pwani.
Rais Kikwete ni mkulima na mfugaji kijijini hapo na ameonesha kufurahishwa
sana na mavuno makubwa ya mahindi shambani kwake. Hii katika kutekeleza kwa
vitendo sera ya Serikali ya kuendeleza kwa ari mpya, kasi mpya na nguvu
mpya sekta ya kilimo katika Tanzania.
PICHA NA IKULU
*
No comments:
Post a Comment