HUYU NDIO MISS WORLD 2012
Huyu
ni Yu Wenxia (23) kutoka China ambaye ndiye ametangazwa mshindi katika
Miss World 2012 ambapo hii inakuwa mara ya pili kwa China kushinda Miss
World, mara ya kwanza ilikuwa 2007.
Aliye
mbele kushoto ndio Miss World 2012 namba mbili kutoka Wales, wa
katikati ndio Miss World 2012 kutoka China na mshindi wa tatu aliye kulia
ni kutoka Australia.
Picha za chini zinazofuata ni wakati wakiwa backstage.
No comments:
Post a Comment