Saturday, March 30, 2013

TANZANIA WOMEN OF ACHIEVEMENT AWARDS

                      MAMA MLEZI NA MGENI RASMI .MHESHIMIWA SOPHIA SIMBA
IRENE KIWIA MKURUGENZI WA FRONTLINE PORTER NOVELLE AMBAO NDIO WAANDAAJI WA WA HIZI TUZO ZA #TWAA

NAIBU WAZIRI WA SHERIA NA KATIBA,MHESHIMIWA  ANGELLA KAIRUKI ALIKUWEPO PIA KUSHIRIKI KATIKA TUZO HIZI MAALUM KWA WANAWAKE WALOLETA TIJA KATIKA SEKTA MBALIMBALI , SAMBA MBA NA MKURUGENZI WA WOMEN FUND TANZANIA, MAMA MARY

HII ILIKUWA RASMI NA ILIKABIDHIWA KWA......
LIFE TIME ACHIEVEMENT AWARD ILIENDA KWA PROFESSOR MARJORIE MBILINYI
HAPO CHINI PICHANI NI BI MWAMVUA (kama sijakosea jina) huyu mama ni MSAIDIZI WANYUMBANI WA PROFESSOR AMBAYE ALISEMA HII TUZO INAMHUSU KWANI ALIANZA KUISHI NAE TANGU MWAKA 1967 KAMA DADA WA NYUMBANI HADI LEO HII ANAISHI NAE......NIKAONA HII LAZIMA NISHEE NA NYIE WADAU HASWA HASWA KINA MAMA WENZANGU, TUCHUKULIE KAMA MFANO, JAPO NIMEWEKA HII COMMENT INSTRAGAM, NIMEPATA COMMENT TOFAUTI ..
                                  MSAIDIZI WA NYUMBANI WA PROFESSOR
ONA WALOPATA TUZO NA ZULIANI



TUZO NDIO HIZI, KWA KWELI WALIOSHIRIKISHWA HIZI TUZO WOOTE WANASTAHILI NA WALIOPATA WANASTAHILI TUZO, KUPITIA HIZI TUZO NIMEJIFUNZA MENGI KUWA KUNA WANAWAKE HAPA NCHINI WANAFANYA MAMBO MAKUBWA MNOOOO NA YA MAANA AMBAYO ,KWA MACHO YA KAWAIDA HATUWAONI NA WALA HATUWAJUI, KWANI WAKO BUSY, KUNA MWANAMKE ALIPEWA KAZI NA BILL GATE BWANA,

                      TUZO YA SANAA NA UTAMADUNI .SUZAN LUENDO

HABARI NA MAWASILIANO .VICKY NTETEMA

TUZO YA AFYA  IMEENDA KWA LINDA EZEKIEL
TUZO YA ELIMU IMEENDA KWA RUTH MEENA
                TUZO YA USTAWI WA JAMII IMEENDA KWA JUSTA MWITUKA
         SAYANCI NA TEKNOLOJIA IMEENDA KWA REGINA KAPINGA
                             TUZO YA  TAALUMA GRACE RUBAMBEY
KILIMO IMEENDA KWA EMILIANA ALIGAESHA...MNAMKUMBUKA MAMA EMILIANA, NDIO TULIMPA MICHE YA MIPARACHICHI
TUZO YA MICHEZO IMEENDA KWA JOAN MINJA
                                           TUZO YA MSHIRIKI MDOGO IMEENDA KWA GLORY MATOI
                      DINA MARIOUS ALICHUKUA TUZO YA WOMEN OF THE YEAR...congrats



BURUDANI...
.ZILIKUWA NYIMBO ZA USHINDI NA KUHAMASISHA WANAWAKE
zikiimbwa na wakawake

                                           NURU THE LIGHT NAE ALIKUWEPO


ZULIANI


                                       BIG MAMA MWANDALE NAE ALIKUWEPO













              #AFRICANPRINT     SHATI....CHEZEYAA, NILIFURAHI KUMUONA #FELLOWBLOGGER ,KAJUNASON ALIWA KATINGA HILI SHATI. mdogo mdogo kitaeleweka tu..(Picha kwa hisani ya: 8020fashion.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment