RAIS KIKWETE AZINDUA TAARIFA YA UTAFITI WA VISAHIRIA VYA UKIMWI NA MALARIA MWAKA 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa
kuzindua rasmi taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwi na malaria mwaka 2012
katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akikata ukanda kuzindua rasmi taarifa ya utafiti wa viashiria vya
ukimwi na malaria mwaka 2012 katika ukumbi wa Karimjee jijini
Dar es salaam.
Kulia
kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe
Saidi Meck Sadiki. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi
(TACAIDS) Mama Fatma Mrisho na
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu
na Bunge), Mhe William Lukuvi
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akinyanyua juu baada ya taarifa ya utafiti wa viashiria vya
ukimwi na malaria mwaka 2012 katika ukumbi wa Karimjee jijini
Dar es salaam.
Kulia
kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda', Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Tume ya
Kudhibiri Ukimwi (TACAIDS) Mama Fatma Mrisho.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipitia baada ya kuzindua rasmi taarifa ya utafiti wa viashiria
vya ukimwi na malaria mwaka 2012 katika ukumbi wa Karimjee
jijini Dar es salaam.
Kulia
kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na kushoto kwake ni Waziri wa Afya na
Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi, Waziri wa Fedha Dkt William
Mgimwa.
Wadau kutoka
sekta mbalimbali wakiangalia matangazo ya kupiga vita UKIMWI na Malaria wakati
wa uzinduzi rasmi wa taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria
mwaka 2012 katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
salaam.
Meza
kuu ikimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi (TACAIDS)
Mama Fatma Mrisho akisoma taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwi na malaria
mwaka 2012 katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
salaam.PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment