MCHAKATO WA KUCHAGUA PAPA KUANZA LEO VATICAN CITY
MAKARDINALI
wa Kanisa Katoliki kutoka sehemu mbalimbali duniani, leo wanaanza
maandalizi ya kumchagua mrithi wa Papa Benedict XVI, aliyeachia ngazi
wiki iliyopita.
Kwa
mujibu wa tovuti ya Vatican City, ilieleza kuwa mkutano mkuu wa
Makardinali utaanza leo saa 3.00 asubuhi kwa saa za Vatican (Saa 6.00
mchana kwa saa za Tanzania) kwenye Ukumbi wa New Synod Hall.
Mkutano huo ndio utafungua mchakato wa uchaguzi wa Papa mpya na unatarajiwa kuandaa ratiba ya uteuzi wa papa mpya.
Makardinali hao ndio watapanga siku ya kufanyika mkusanyiko wao unaoitwa `Papal Conclave' kwa ajili kufanya uchaguzi huo.
Papa anavyochaguliwa.
No comments:
Post a Comment