MKUTANO WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI YA KUSINI MWA AFRIKA (SADC TROIKA)
Rais Jakaya Kikwete akimpokea Rais Hifikepunye Pohamba wa
Namibia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa na
mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete
Katibu Mtendaji wa SADC Dkt Tomaz A. Salomao akitoa maelezo kabla ya kuanza kikao
Kuanza kwa kikao cha Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA).
Maofisa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama
ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais
Jakaya Kikwete akifungua kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika
hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo
ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete
akifungua kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya
Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mwenyekiti
wa SADC Rais Armando Emílio Guebuza wa Msumbiji na kati ni Katibu
Mtendaji wa SADC Dkt Tomaz A. Salomao.
Mwenyekiti
wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi
ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiongea na
wanbahabri mara baada ya kumalizika kikao cha siku moja cha asasi hiyo
katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo
ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiongea
na wanbahabri mara baada ya kumalizika kikao cha siku moja cha asasi
hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.
Bernard Membe na kulia ni Katibu Mtendaji wa SADC Dkt Tomaz A. Salomao
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe
akimlaki Waziri wa Ulinzi na Veterani wa Jeshi wa Afrika Kusini Bi.
Nosiviwe Mapisa-Nqakula.
Rais
Joseph Kabila akipeana mikono na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya
Dar es salaam Bw. Suleiman Kova wakati alipowasili kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya
Kikwete. Rais Kabila alihudhuria mkutano huo kama mgeni mwalikwa.
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo
ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiwa na
wageni wake wakielekea kabla ya kikao cha siku moja cha asasi hiyo
katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kutoka
kushoto ni Rais Armando Emílio Guebuza wa Msumbiji, Rais Hifikepunye
Pohamba wa Namibia, Rais Kikwete, na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
Mwenyekiti
wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi
ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiwa na wageni
wake wakielekea kwenye kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika
hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kutoka
kushoto ni Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia, Rais Kikwete, Rais
Armando Emílio Guebuza wa Msumbiji na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
No comments:
Post a Comment