Pamoja na kwamba Africa
inasifika kwa umasikini lakini ni uhakika kwamba Mungu hajawanyima
waafrika kila kitu, nimesema hivyo baada ya kuipata hii stori ya kijana
wa Nigeria kutengeneza helikopta inayopaa.
Mubarak Muhammed Abdullahi
ambae ana miaka 24 tu toka aanze kupumua, kwa kutumia vifaa vya gari la
zamani pamoja na vifaa vya baiskeli amefanikiwa kutengeneza helikopta
inayopaa.
Mwanafunzi huyu anaesoma
Physics ametumia miezi nane kuitengeneza ambapo ametumia pesa
anazozipata kutokana na kuripea simu za mkononi na computer kununua
baadhi ya vifaa kuitengeneza hii Helkopta aliyoiita 747.
The 12-meter-long aircraft
ambayo haijawahi kupaa zaidi ya futi saba angani imetengenezwa na
secondhand 133 horsepower engine ya Honda Civic na ina viti vya vya
gari aina ya Toyota.
Controls are simple, with an
ignition button, an accelerator lever to control vertical thrust and a
joystick that provides balance and bearing. A camera beneath the chopper
connected to a small screen on the dash gives the pilot ground vision,
and he communicates via a small transmitter.
No comments:
Post a Comment