Monday, April 1, 2013

ZOEZI LA UTAFUTAJI MAITI KATIKA KIFUSI CHA GHOROFA LILILOPOROMOKA LAMALIZIKA, MAITI 36 ZAPATIKANA

Wachimbaji wakifikia hatua ya mwisho kabisa ambapo tayari wamefikia ulipokuwa umeanzia msingi uliokuwa umebeba ghorofa 16, na kazi hiyo ilikuwa ikifanywa na askari wa JWTZ na kumkabidhi mkuu wa mkoa wa Dar leo na kutoa idadi kamili ya maiti waliopatikana kufikia 36.
Zoezi la kuondoa kifusi katika jengo la ghorofa 16, lililoporomoka ikiwa katika hatua za mwisho leo, ambapo Askari wa JWTZ waliokuwa wakisimamia kazi hiyo, wameagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar leo na kutolewa idadi kamili ya Maiti waliopatikana kuwa imefikia 36.

No comments:

Post a Comment