Monday, April 1, 2013



MAN U YAONDOSHWA NA CHELSEA KATIKA KOMBE LA FA YAKUBAKI KICHAPO CHA BAO 1-0

Mshambuliaji wa Chelsea Demba Ba (kushoto) akichuana na Smalling, wakati wa Mchezo wa Kombe la FA uliochezhwa jioni ya leo, ambapo Chelsea imeibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na BA na kuionsha katika mashindano ya kombe hilo. 
Chicharito (katikati) akitoa pande la mwisho ambalo halikuweza kuzaa matunda. 
Beki wa Man U, Evra 9kulia) akiwatoka wachezaji wa Chelsea.

No comments:

Post a Comment