RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA ARUSHA-MINJINGU
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier, wakiweka jiwe la
msingi kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Arusha Minjingu
maeneo ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli, Mkoani Arusha.
Mkurugenzi
wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw. Philippe
Dongier akipanda mti kama kumbukumbu baada ya Rais Kikwete kuweka jiwe
la msingi kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Arusha Minjingu
maene ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli, Mkoani Arusha.
Rais
Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanahabari wa mkoa wa Arusha baada ya
kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa barabara ya
Arusha Minjingu maene ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli,
Mkoani Arusha.
Rais
Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanahabari wa mkoa wa Arusha baada ya
kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa barabara ya
Arusha Minjingu maene ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli,
Mkoani Arusha.
Sehemu ya barabara ya Minjingu-Babati-Singida iliyozinduliwa na Rais Kikwete.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika Tonia Kandiero na viongozi wengine wakikata utepe kuzindua
barabara ya Minjingu-Babati-Singida nje kidogo ya mji wa Babati Mkoa wa
Manyara. Anayeshuhudia kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe
Magufuli na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji)
Dkt Mary Nagu. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment