JK. Apokea Cheti Chake Cha Udaktari Wa MUHAS
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Cheti cha Udaktari wa Public Health (Honoris Causa),
kufuatia Shahada aliyotunukiwa na Chuo hicho mwaka 2010 kwa kutambua
mchango wake katika kuendeleza Sekta ya Afya nchini. Sherehe hiyo fupi
ilifanyika leo Novermba, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Waziri wa Ardhi
Prof Anna Tibaijuka, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein
Mwinyi na viongozi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili baada ya kukabidhiwa Cheti cha Udaktari wa Public Health (Honoris Causa),
kufuatia Shahada aliyotunukiwa na Chuo hicho mwaka 2010 kwa Kutambua
mchango wa Rais Kikwete katika kuendeleza Sekta ya Afya nchini,Novermba 23, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment