RAIS AZINDUA KIWANDA CHA KUSINDIKA TANGAWIZI MAMBA MIAMBA-SAME
Rais
Jakaya Kikwete akiangalia chupa ya tangawizi iliyotayari kuuzwa mara
baada ya Rais Kikwete kufungua rasmi kiwanda cha kuzalisha Tangawizi kimnachomilikiwa na Umoja wa Walima Tangawizi Mambakatika Kijiji cha Goha Kata ya Mamba Miamba Wilayani Same mkoani Kilimanjaro juzi.
Rais
Jakaya Kikwete akimsikiliza Meneja wa Kiwanda cha Tangawizi,
kinachomilikiwa na Umoja wa Walima Tangawizi Mamba, Mhandisi Aim Luvanda
wakati amkaribisha kufungua kiwanda cha kusindika Tangawizi.
Rais
Jakaya Kikwete akifungua rasmi kiwanda cha kusindika tangawizi katika
Kijiji cha Goha Kata ya Mamba Miamba Wilayani Same mkoani Kilimanjaro
juzi. Kushoto ni Meneja wa Kiwanda cha Tangawizi, kimnachomilikiwa na
Umoja wa Walima Tangawizi Mamba, Mhandisi Aim Luvanda na Kulia ni
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela ambaye
amefanikisha ujenzi wa kiwanda hicho kwa asilimia kubwa.
Rais
Jakaya Kikwete akipeana mkono na Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki,
Anne Kilango Malecela ambaye amefanikisha ujenzi wa kiwanda hicho mara
baada ya Rais Kikwete kufungua rasmi kiwanda hicho katika Kijiji cha
Goha Kata ya Mamba Miamba Wilayani Same mkoani Kilimanjaro juzi. Kushoto
ni Meneja wa Kiwanda cha Tangawizi, kimnachomilikiwa na Umoja wa Walima
Tangawizi Mamba, Mhandisi Aim Luvanda
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kufungua rasmi lango kuu la Kiwanda hicho.
Rais
Jakaya Kikwete akikagua uzalishaji wa Tangawizi mara baada kufungua
rasmi kiwanda cha kusindika Tangawizi kinacho milikiwa na Ushirika wa
wakulima wa Tangawaizi katika Kata ya Mamba Miamba Wilayani Same mkoani
Kilimanjaro juzi.
Rais
Jakaya Kikwete akimsikiliza Meneja wa Kiwanda cha Tangawizi,
kinachomilikiwa na Umoja wa Walima Tangawizi Mamba, Mhandisi Aim Luvanda
(kushoto) juu ya shughuli za uzalishaji mara baada ya Rais Kikwete
kufungua rasmi kiwanda hicho katika Kijiji cha Goha Kata ya Mamba Miamba
Wilayani Same mkoani Kilimanjaro juzi. Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Same
Mashariki, Anne Kilango Malecela ambaye amefanikisha ujenzi wa kiwanda
hicho kwa asilimia kubwa.
Rais
Jakaya Kikwete akioneshwa chupa ya tangawizi iliyotayari kuuzwa
.Kushoto ni Meneja wa Kiwanda cha Tangawizi, kinachomilikiwa na Umoja
wa Walima Tangawizi Mamba, Mhandisi Aim Luvanda akimpa maelezo juu ya
shughuli za uzalishaji mara baada ya Rais Kikwete kufungua rasmi kiwanda
hicho katika Kijiji cha Goha Kata ya Mamba Miamba Wilayani Same mkoani
Kilimanjaro juzi.
Rais Kikwete akisalimina na wananchi
wa rika mbalimbali waliofurika katika uiwanja wa michezo wa Goha kata
ya Mamba Miamba kumsikiliza.
Rais
Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti cha shukrani Mbunge wa Jimbo la Same
Mashariki, Anne Kilango Malecela kwa kufanikisha ujenzi wa Kiwanda cha
kusindika tangawizi katika Kata ya Mamba Miamba Wilayani Same Mkoani
Kilimanjaro. Rais Kikwete alifungua kiwanda hicho juzi.
Mbunge
wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecelaakizungumza na
wananchi katika mkutano wa hadhara kabla ya Rais Kikwete kuhutubia
hadhara hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wakazi wa Kata ya mamba Miamba wilayani Same mkoani Kilimanjaro juzi.
No comments:
Post a Comment