RAIS KIKWETE ALIPOWATEMBELEA JANA MAJERUHI WA AJALI YA GHOROFA LILILOPOROMOKA DAR
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiwa katika wodi
ya Taasisi ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es salaam wakimpa pole kijana Mohamed Ally Dhamji ambaye ni miongoni mwa majeruhi walionusurika katika jengo lililoporomoka katikati ya jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya watu 29.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiwa katika
wodi ya Sewa haji ya Taasisi ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa
ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Machi 31, 2013 wakimjulia hali na
kumpa pole Bw. Selemani Saidi, mmoja wa majeruhi walionusurika katika
jengo lililoporomoka katikati ya jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha
vifo vya watu 29 Kushoto mwenye suti nyeusi ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Raymond Mushi Kulia ni Daktari C.N. Mcharo wa taasisi ya Mifupa ya Moi.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiwa katika wodi
ya Taasisi ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es salaam wakimpa pole kijana Mohamed Ally Dhamji. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment